Tofauti kati ya marekesbisho "Emma Goldman"

17 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: war:Emma Goldman; cosmetic changes
(Jamii:New York)
d (roboti Nyongeza: war:Emma Goldman; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Portrait Emma Goldman.jpg|thumb|right|300px|Emma Goldman kunako mwaka wa 1910.]]
 
'''Emma Goldman''' ([[27 Juni]] [[1869]] – [[14 Mei]] [[1940]]) alikuwa akifahamika kama mfuasi wa [[utawala huria]], kuanzia mwishoni wa [[karne ya 19]] hadi katikati ya [[karne ya 20]].
 
== Imani ==
Emma Goldman alikuwa mfuasi wa utawala huria (utawala huria ni nadharia ya siasa inayosema siasa na sheria havitakiwi), hivyo hakupenda serikali. Katika fikra zake alipendelea mtindo wa ukomunisti usiotia uzito kwa serikali na dola.
 
Goldman alikuwa akitetea sana mambo ya kutumia ubavu kwa ya imani ya kuleta mapinduzi halisi katika jamii, lakini baadaye alibadilisha kauli hiyo na kudai kwamba ubavu utatumikia katika kujilinda mwenyewe na si vinginevyo.
 
== Maisha yake ==
=== Historia ===
Goldman alizaliwa katika mji wa Lithuania ya leo (wakati ule ilikuwa moja kati ya sehemu ya [[Urusi]]). Alipofikisha umri wa miaka kumi na saba akahamia mjini Rochester, [[New York]] akiwa pamoja na dada yake.
 
Emma alifariki dunia mnamo tarehe 14 ya mwezi wa Mei katika mwaka wa 1940, kwa ugonjwa wa kupooza. Alizikwa karibu kidogo na mji wa [[Chicago]].
 
== Viungo vya nje ==
* {{gutenberg author| id=Goldman+Emma | name=Emma Goldman}}
* [http://sunsite.berkeley.edu/Goldman/ Emma Goldman Papers Project] at [[:en:UC Berkeley|UC Berkeley]]
 
{{DEFAULTSORT:Goldman, Emma}}
[[Category:Waliozaliwa 1869]]
[[Category:Waliofariki 1940]]
[[Category:Wanaharakati wa Marekani]]
[[Category:Wanaharakati wa Haki za Wanawake]]
[[Jamii:New York]]
 
{{Link FA|en}}
{{Link FA|sv}}
 
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1869]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1940]]
[[CategoryJamii:Wanaharakati wa Marekani]]
[[CategoryJamii:Wanaharakati wa Haki za Wanawake]]
[[Jamii:New York]]
 
[[ar:إيما جولدمان]]
[[tr:Emma Goldman]]
[[uk:Ґолдман Емма]]
[[war:Emma Goldman]]
[[zh:埃玛·戈尔德曼]]
[[zh-min-nan:Emma Goldman]]
44,068

edits