Tofauti kati ya marekesbisho "Yosafat wa Polotsk"

58 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
 
==Maisha==
Yosafat Kuntsevych (kwa [[Kibelarus]] Язафат Кунцэвіч, ''Jazafat Kuncevič'') alizaliwa [[Wlodzimierz Wolynski]] katika mkoa wa [[Volinia]] (uliokuwaulikuwa sehemu ya [[Lithuania]], leo ni ya [[Ukraina]]) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya [[Waorthodoksi]] akaitwa Yohane katika [[ubatizo]].
 
Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa Belarus]]
[[Jamii:Watakatifu wa Ukraine]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
 
{{mbegu-mtuMkristo}}
 
[[be:Іасафат Кунцэвіч]]