Durban : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:KwaZulu-Natal
infobox + bendera + sisterlinks
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
[[Picha:DSC42232.GOLDEN MILE-1-.jpg|thumb|300px|"Maili ya Dhahabu" mwambaoni mjini Durban ]]
|jina_rasmi = Jiji la Durban
|picha_ya_satelite = DSC42232.GOLDEN MILE-1-.jpg
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Afrika Kusini]]
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Majimbo ya Afrika Kusini|Majimbo]]
|subdivision_name1 = [[KwaZulu-Natal]]
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla = 3 468 086
|website = [http://www.durban.gov.za/ www.durban.gov.za]
 
}}
[[Picha:DurbanFlag.svg|left|80px]]
'''Durban''' ni mji wa [[Afrika Kusini]] katika jimbo la [[KwaZulu-Natal]]. Kuna takriban wakazi milioni 4 . Fuko za Durban zapendwa na watalii kwa sababu maji ya Bahari Hindi si baridi na kuna jua tele. Bandari ya mji ni kubwa katika Afrika Kusini ni [[bandari asilia]] duniani yenye kina kikubwa.
 
Line 9 ⟶ 23:
Katika karne ya 19 Waingereza walichukua wafanyakazi wengi kwa ajili ya mashamba ya miwa kutoka Bara Hindi ambao ni chanzo cha wakazi Waasia wa Durban. Kati ya [[1893]] na [[1915]] Durban ilikuwa mahali ambapo [[Mahatma Gandhi]] alifanya kazi kama mwanasheria.
 
{{sisterlinks}}
[[Jamii:KwaZulu-Natal]]
[[Jamii:Miji ya Afrika Kusini]]