Yamoussoukro (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Yakro basilique05.jpg picha infobox + viungo vya nje
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Yamoussoukro
|picha_ya_satelite = Yakro basilique05.jpg
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Cote d'Ivoire]]
|subdivision_type1 = [[:en:Regions of Côte d'Ivoire|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[:en:Lacs:Lacs]]
|subdivision_type2 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla = 200 000
|website = [http://yamoussoukro.org/en/index.htm yamassoukro.org/en/]
 
}}
[[Picha:Iv-map.png|thumb|300px|Yamoussoukro katika [[Côte d'Ivoire]]]]
 
[[Picha:Yamoussoukro.jpg|thumb|300px|right|Kituo cha mabasi Yamoussoukro, kanisa kuu nyuma]]
 
 
'''Yamoussoukro''' ni [[mji mkuu]] rasmi wa [[Cote d'Ivoire]] tangu 1983 ilipochukua nafasi hii kutoka [[Abidjan]] inayoendelea kuwa mji mkubwa na kitovu cha kiuchumi pia kiutamaduni na makao ya ofisi nyingi za serikali. Iko takriban 230 km kutoka pwani karibu na kitovu cha nchi. Kuna wakazi 200,000 (mwaka 2005).
 
Line 27 ⟶ 24:
Mwaka 1983 ilitangazwa rasmi kuwa mji mkuu lakini ofisi nyingi za serikali na wizara bado zimebaki Abidjan.
 
==Viungo vya nje==
* [http://yamassoukro.org/ Tovuti rasmi]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{sisterlinks}}
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji ya Cote d'Ivoire]]