Tofauti kati ya marekesbisho "Abidjan"

183 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
Marejeo, wakazi 2000
(region -==> mkoa infobox)
(Marejeo, wakazi 2000)
|subdivision_type1 = [[:en:Regions of Côte d'Ivoire|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[:en:Lagunes Region|Lagunes]]
|subdivision_type2 = [[:en:Departments of Côte d'Ivoire|Wilaya]]
|subdivision_name2 = Abidjan
|wakazi_kwa_ujumla = 3,802624,000800
|website = [http://www.district.abidjan.org/ www.district.abidjan.org]
 
'''Abidjan''' ni mji mkubwa nchini [[Cote d'Ivoire]] pia ni [[mji mkuu]] hali halisi. Vilevile ni bandari kuu ya nchi kwenye [[Ghuba ya Guinea]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Abidjan haiko baharini moja kwa moja lakini kwenye [[wangwa]] ya Ebrie inayotengwa na bahari kwa kanda nyembamba ya mchanga.
 
Abidjan imekua haraka kuanzia wakazi 65,000 mwaka 1950 hadi wakazi 3,692624,570800 mwaka 20052000.<ref>[http://www.statoids.com/yci.html Statoids, Departments [Wilaya] of Cote d'Ivoire (2000) {{en}}]</ref> Ilikuwa pia mji mkuu rasmi kati ya 1934 hadi 1983.
 
Kuna viwanda vya ngozi, nguo, vyakula na mafuta.
 
Tangu mwanzo wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] mwaka 2004 hali ya usalama mjini umeshuka chini sana.
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
43,458

edits