Abidjan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marejeo, wakazi 2000
dNo edit summary
Mstari 17:
'''Abidjan''' ni mji mkubwa nchini [[Cote d'Ivoire]] pia ni [[mji mkuu]] hali halisi. Vilevile ni bandari kuu ya nchi kwenye [[Ghuba ya Guinea]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Abidjan haiko baharini moja kwa moja lakini kwenye [[wangwa]] ya Ebrie inayotengwa na bahari kwa kanda nyembamba ya mchanga.
 
Abidjan imekua haraka kuanzia wakazi 65,000 mwaka 1950 hadi wakazi 3,624,800 mwaka 2000.<ref>[http://www.statoids.com/yci.html Statoids, Departments [(Wilaya]) of Cote d'Ivoire (2000) {{en}}]</ref> Ilikuwa pia mji mkuu rasmi kati ya 1934 hadi 1983.
 
Kuna viwanda vya ngozi, nguo, vyakula na mafuta.