Tofauti kati ya marekesbisho "Lindi (mji)"

526 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
Marejeo infobox
No edit summary
(Marejeo infobox)
{{Infobox Settlement
[[Image:Lindi.jpg|thumb|right|200px|Nyumba za Lindi]]
|jina_rasmi = Jiji la Lindi
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150 km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm].
|picha_ya_satelite = Lindi.jpg
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Tanzania]]
|subdivision_type1 = [[:Jamii:Mikoa ya Tanzania|Mkoa]]
|subdivision_name1 = [[Mkoa wa Lindi|Lindi]]
|subdivision_type2 = [[Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Lindi Mjini|Lindi Mjini]]
|wakazi_kwa_ujumla =
|website =
 
}}
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150 km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm Tanzania.go.tx/census/districts/lindiurban].</ref>
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
Maendeleo ya Lindi ilikwama kutokana na hali mbaya za barabara amabazo hazikutunzwa vizuri wakati wa uhuru. Kuna matumaini ya kwamba mipango ya barabara ya lami ya [[Dar es Salaam]] - Mtwara itandelea baada ya kukamilika kwa daraja la [[mto Rufiji]].
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
{{tanzania-geo-stub}}
{{Kata za Wilaya ya Lindi Mjini}}
43,458

edits