Wilaya ya Pangani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Reverted edits by 213.228.92.18 (Talk); changed back to last version by Oliver Stegen |
||
Mstari 1:
[[Wilaya ya Pangani]] ni kati ya wilaya za [[Mkoa wa Tanga]] katika [[Tanzania]].
Imepakana na wilaya ya [[Muheza]] upande wa Kazkazini, [[Wilaya ya Handeni]] upande wa magharibi, wilaya ya [[Bagamoyo]] (Mkoa wa Pwani) upande wa kusini na [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki. Makao makuu ya wilaya yako [[Pangani (mji)|Pangani]] mjini.
Wilaya ina wakazi 44,107 (2002) [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/pangani.htm]. Kuna kata (au ''shehia'', kwa Kiingereza ni ''Ward'') zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano):
Pangani Mashariki (3,079)
Pangani Magharibi (4,949)
Bweni (1,191)
Madanga (3,096)
Kimanga (2,974)
Bushiri (4,348)
Mwera (4,055)
Tungamaa (2,025)
Kipumbwi (4,124)
Mikunguni (3,977)
Ubangaa (2,314)
Mkwaja (3,783)
Mkalamo (4,201)
==Viungo vya Nje==
[http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/pangani.htm Sensa ya 2002 kwa ajili ya Pangani]
[[Category:Wilaya za Mkoa wa Tanga|P]]
[[en:Pangani]]
[[de:Pangani]]
|