Kundi la Halkojeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboto: lmo:Calcògen estas artikolo elstara
d roboti Nyongeza: ms:Kumpulan kalkogen; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Chalkogene.jpg|thumb|250px|Halkojeni]]
'''Halkojeni''' ni [[elementi]] sita za kundi la 16 katika [[mfumo radidia]] au jedwali ya elementi.
 
== Tabia za pamoja ==
Jina latokana na maneno mawili ya Kigiriki (''„Χαλκός“'' = [[shaba]], [[mtapo]] + ''„γεννώ“'' = kuzaa, kufanya) na lamaanisha "fanya mtapo". Hii imetaja tabia ya kumenyuka haraka na metali hivyo kuunda kampaundi za kimetali. Halkojeni zote zina [[elektroni]] sita katika [[mizingo elektroni]] wa nje. Tabia hii huzisaabisha kutafuta elektroni mbili za nyongeza kuwa hali tahibi ya elektroni nane kwenye mzingo wa nje na kuwa ioni ya chaji hasi thabiti.
 
== Elementi ==
Elementi hizi ni pamoja na [[oksijeni]] ('''O'''), [[kibiriti]] ('''S'''), [[seleni]] ('''Se'''), [[teluri]] ('''Te'''), [[poloni]] ('''Po''') na elementi sintetiki ya [[ununheksi]] ('''Uuh''').
 
O na S ni [[simetali]], Po, Se na Te ni [[metaolidi]] na [[nusukipitisho|nusuvipitisho]], lakini Se na Te vina pia umbo ambako huitwa metali tu. Uuh imetengenezwa mara mbili tu katika maabara kwa muda usiofika hata [[sekunde]].
{{Link FA|lmo}}
 
[[categoryJamii:Mfumo radidia]]
 
[[ar:مجموعة كالكوجين]]
Line 29 ⟶ 30:
[[ko:16족 원소]]
[[la:Chalcogenica]]
[[lmo:Calcògen]] {{Link FA|lmo}}
[[ms:Kumpulan kalkogen]]
[[nds:Chalkogen]]
[[nl:Zuurstofgroep]]