Siracusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
 
'''Sirakusa''' (kwa [[Kiitalia]]: Siracusa) ni mji wa [[Italia]] uliopo kwenye pwani laya mashariki laya kisiwa cha [[Sisilia]]. Kwa karne nyingi tangu zamani za [[Ugiriki wa Kale]] Sirakusa ilikuwa mji mkuu wa Sisilia ikahesabiwa pia kati ya miji muhimu na yenye enzi ya dunia.
 
Tangu 2005 Syrakusa imepokelewaimeandikwa na [[UNESCO]] katika orodha ya [[urithi wa dunia]].
 
== Jiografia ==
Mji uko upande wa mashariki-kusini wa Sisilia. Idadi ya wakziwakazi ni mnanmokama 124,000.
 
Kitovu cha kihistoria kipo kwenye kisiwa cha Ortygia kilichopo karibu sana na pwani lenyeweyenyewe.
 
 
Mstari 17:
Jina la Sirakusa latokana na "Syrakka" inayomaanisha "matope".
 
Mji ulianzshwaulianzishwa mwaka 734 KK na walowezi [[Wagiriki]] kutoka [[Korintho]] kwenye kisiwa cha Ortygia kwa jina la "Syrakusai" (Kigrikikwa [[Kigiriki]] Συράκουσαι). Mji ulikua haraka na kupanuakupanuka hadi Sisilia bara ukawa mji mkubwa wa Wagiriki katika Sisilia.
 
Ukitawaliwa na wafalme wake mji ulitunza uhuru wake kwa karne kadhaa. Sirakusa ilikuwa kitovu cha [[utamaduni]] na [[sayansi]]. Mshairi [[Aischylos]], mwanafalsafa [[Platoni]] na mwanahisabati [[Archimedes]] waliishi hapa.
 
Mwaka [[212 KK]] wakati wa [[vita ya pili ya Wapuni]] jeshi la [[Dola la Roma]] lilifaulu kuteka pia Sirakusa lililokuwana sasakulifanya mji mkuu wa jimbo la Sisilia. 450 ilivamiwa na [[Wavandali]] na tangu 535 ilikuwa chini ya [[Bizanti]].
 
Mwaka [[450]] ilivamiwa na [[Wavandali]] na tangu [[535]] ilikuwa chini ya [[Bizanti]].
Tangu 831 Waarabu Waislamu walishambulia na kuteka sehemu za Sisilia mwishowe 878 pia Sirakusa. Tangu 1038 ilirudi tena chini ya utawala wa Kikristo kwanza wa Wanormandi halafu chini ya ma[[kaisari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]]. Kutoka hapa iliingia chini ya utawala wa Kihispania halafu ufalme wa Sisilia hadi kuingia katika maungano ya Italia tangu mwaka [[1860]].
 
Tangu [[831]] [[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walishambulia na kuteka sehemu mbalimbali za Sisilia, mwishowe ([[878]]) pia Sirakusa.
 
Tangu [[1038]] ilirudi tena chini ya utawala wa [[Ukristo|Kikristo]] kwanza wa [[Wanormandi]] halafu chini ya ma[[kaisari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]].
 
Kutoka hapo iliingia chini ya utawala wa Kihispania, halafu ya [[[ufalme wa Sisilia]] hadi kuingia katika nchi ya Italia mwaka [[1860]].
{{Link FA|it}}