Adhabu ya kifo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Kapital nga pagsirot
d roboti Ondoa: oc:Pena de mòrt; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Death Penalty World Map.png|thumb|right|350px|Adhabu ya kifo duniani. Buluu: hakuna,<br /> Kijani: Adhabu ya kifo wakati wa vita pekee; kichungwa: kuna adhabu ya kifo lakini haikutekelezwa katika miaka 10 iliyopita<br /> Nyekundu:Adhabu ya kifo hutolewa]]
 
'''Adhabu ya kifo''' ni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na [[serikali]] baada ya [[mahakama]] imetoa hukumu ya mauti kulingana na sheria ya nchi. Kwa kawaida adhabu hii inatolewa kwa jinai nzito sana.
 
== Sababu za kumhukumia mtu afe ==
Zamani ilikuwa adhabu ya kawaida katika nchi nyingi kwa mauaji hasa, lakini pia kwa makosa kama unajisi, biashara ya madawa ya kulevya, ufisadi. Kihistoria hata aina za upinzani dhidi ya mtawala wa nchi ziliadhibiwa kwa adhabu ya mauti mara nyingi iliitwa kusaliti taifa au kuhatarisha usalama wa nchi. Kuna pia nchi ambako kuondoka katika dini rasmi iliadhibiwa hivyo.
 
Mstari 14:
**ni adhabu ya kinyama zaidi kuliko kumwua mkosaji
 
== Upinzani ==
Katika karne ya 20 upinzani dhidi ya adhabu hii ilipata nguvu na nchi nyingi zimefuta adhabu ya kifo. Katika nchi nyingine adhabu iko bado kisheria lakini haikutekelezwa tena tangu miaka mingi kwa sababu katika Kenya na Tanzania.
 
Sababu za upinzani ni hasa kama zifuatazo:
#wengi hudai ya kwamba adhabu ya kifo hailingani na utu. Katika hoja hili kumwua mtu ni kinyama na hata kama mkosaji alimwua mtu mwingine na kutenda kinyama hii si sababu nzuri kwa umma au jamii kushuka chini kwenye ngazi hiyohiyo na kumtendea mksosaji jinsi alivyotenda mwenyewe.
#adhabu ya kifo ni adhabu ambayo haiwezi kurekebishwa. Lakini kila mahakama inaweza kukosa na kuna mifano mingi kwa kwamba mahakama ilikosa na kumhukumu mtu kuwa alihusika na jinai lakini baadaye ilionekana si yeye. Kama amefungwa jela anaweza kuachishwa na kurudishwa uhuru. Kama ameshauawa hakuna njia ya kumrudishia uhai.
# Hakuna uthebitisho ya kwamba adhabu ya kifo inasaidia kupunguza jinai katika jamii.
 
== Nchi zilizotekeleza hukuma ya kifo mara nyingi ==
Mwaka 2005 watu waliuawa na serikali baada ya hukumiwa katika nchi zifuatazo:
 
Mstari 38:
# [[Ufaransa]] (1)
 
== Namna za kutekeleza kifo ya mauti ==
*'''''Kupiga risasi'''''
*'''''Sindano ya sumu'''''
Mstari 61:
* [http://www.answers.com/topic/capital-punishment Answers.com entry on capital punishment]
 
=== Wanaopinga adhabu ya kifo ===
* [http://www.deathpenaltyinfo.org/ The Death Penalty Information Center]: Statistical information and studies
* [http://www.deathpenalty.org/ Death Penalty Focus]: American group dedicated to abolishing the death penalty
Mstari 80:
* [http://www.thesomnambulist.org/doku.php/all/winningthewaronterror| Winning a war on terror: eliminating the death penalty]
 
=== Wanaotetea adhabu ya kifo ===
* [http://www.off2dr.com Off2DR.com is an Interactive pro death penalty information resource & place for discussions]
* [http://www.prodeathpenalty.com/ Pro Death Penalty.com]
Mstari 94:
* [http://www.capital-punishment.net In Favor of Capital Punishment] - Famous Quotes supporting Capital Punishment
 
=== MAfundisho ya kidini ===
*[http://www.deathpenaltyreligious.org/education/perspectives/dalailama.html The Dalai Lama] - Message supporting the moratorium on the death penalty
* [http://www.engaged-zen.org/articles/Damien_P_Horigan-Buddhism_Capital_Punishment.html Buddhism & Capital Punishment] from The Engaged Zen Society
Mstari 106:
 
{{mbegu-siasa}}
{{Link FA|de}}
 
[[Jamii:Adhabu]]
[[Jamii:Haki za binadamu]]
 
{{Link FA|de}}
 
[[af:Doodstraf]]
Line 156 ⟶ 155:
[[nn:Dødsstraff]]
[[no:Dødsstraff]]
[[oc:Pena de mòrt]]
[[pl:Kara śmierci]]
[[pt:Pena de morte]]