Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh:物质状态 |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: mn:Бодисын төлөв; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
[[
Mstari 12:
Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani [[atomi]] au [[molekuli]] zake zahusuiana.
Katika '''hali mango''' zakaa pamoja kila atomi mahali pake. Tunasema: Dutu ni imara. Dutu katika hali hii ina umbo, mjao na uzani
Katika '''hali kiowevu''' atomi zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Twasema dutu ni kama majimaji. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo. Kiowevu chakubali kila umbo la chombo kinamomwagwa.
Mstari 18:
Katika '''hali ya gesi''' atomi hazishikwi pamoja zaelea kwa mwendo huria. Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Dutu katika hali hii ina uzani lakini haina umbo wala mjao kamili.
== Atomi katika hali maada mbalimbali ==
<gallery>
Image:Teilchenmodell Feststoff.png|Atomi au molekyuli katika hali '''mango'''
Mstari 25:
</gallery>
[[
[[als:Aggregatszustand]]
Mstari 53:
[[lv:Agregātstāvoklis]]
[[mk:Агрегатна состојба]]
[[mn:Бодисын төлөв]]
[[nl:Aggregatietoestand]]
[[nn:Aggregattilstand]]
|