Waeseni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|right||250px|Mahali yalipopatikana ''magombo ya Waeseni'', karibu na [[korongo la Qumran]] '''Waeseni''' walikuwa madhehebu mojawapo ya [[Uyahudi]...'
 
tahajia
Mstari 1:
[[Image:Qumran.jpeg|thumb|right||250px|Mahali yalipopatikana ''magombo ya Waeseni'', karibu na [[korongo]] la Qumran]]
'''Waeseni''' walikuwa [[madhehebu]] mojawapo ya [[Uyahudi]] katika [[karne ya 1 K.K.KK]] na [[karne ya 1]] B.K. Walikoma wakati wa vita vya ukombozi dhidi ya wakoloni wa [[Dola la Roma]].
[[Biblia]] haiwataji kamwe, lakini wanajulikana kupitia vitabu vingine, hasa vile vilivyopatikana katika pango la [[Qumran]], lililohifadhi kwa miaka karibu 1900 maktaba ya jumuia yao iliyokuwa inaishi huko katika mazingira ya jangwa ili kujiandaa kupokea ufalme wa Mungu.
Msimamo wao ulikuwa mkali kabisa, ndiyo sababu wengi wao walijitenga na [[Wayahudi]] wenzao pia.