Abedi Amani Karume : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Sheikh Abeid Amani Abeid Karume ni Rais''' alikuwa Rais wa kwanza wa [[Zanzibar]]. Alizaliwa mwaka 1905 na kufariki mwaka 1972 kwa kupigwa risasi. Karume aliongoza mapinduzi yaliyomwangusha [[Sultani]] aliyekuwa akitawala Zanzibar hapo mwaka 1964. Baada ya miezi mitatu Zanzibar iliungana na [[Tanganyika]] iliyokuwa ikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]]. Baada ya muungano wa nchi hizi mbili uliozaa jina la [[Tanzania]], Karume alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Karume aliongoza mapinduzi yaliyomwangusha [[Sultani]] aliyekuwa akitawala Zanzibar hapo mwaka 1964. Baada ya miezi mitatu Zanzibar iliungana na [[Tanganyika]] iliyokuwa ikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]]. Baada ya muungano wa nchi hizi mbili uliozaa jina la [[Tanzania]], Karume alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amani Abeid Karume,ambaye ni mtoto wa Sheikh Karume, ndiye rais wa sasa wa Zanzibar.
 
[[Amani Abeid Karume]], ambaye ni mtoto wa Sheikh Karume, ndiye rais wa sasa wa Zanzibar tangu mwaka 2000.
 
[[Category:Watu wa Tanzania]]
 
 
[[en:Abeid Karume]]
[[nl:Abeid Karume]]