Wilaya ya Ilala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-jio-TZ
Jamii Wilaya ya Ilala using AWB
Mstari 3:
 
Ilala yenyewe inahesabiwa kama [[manispaa]] ya Ilala ndani ya [[jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Inajumlisha kitovu cha kihistoria cha Dar es Salaam ambako kuna ofisi nyingi za serikali pamoja na makampuni makubwa na maduka. Nafasi ya kitovu chenyewe ni [[sanamu ya askari]]; mitaa mingine maarufu ni [[Kariakoo]], [[Buguruni]], [[Kivukoni]] na kando lake iko [[Pugu]].
 
 
 
{{mbegu-jio-TZ}}
 
 
 
{{Kata za Wilaya ya Ilala}}
 
[[CategoryJamii:Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam|I]]
[[Jamii:Wilaya ya Ilala]]
 
[[en:Ilala]]