Bendera ya Algeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
image
Mstari 1:
[[Image:Flag of Algeria.svg|right|thumb|300px|Bendera ya Algeria]]
 
'''Bendera ya [[Algeria]]''' ina milia miwili ya kusimama ya upana uleule. Kushoto rangi ni kijani na upande wa kulia nyeupe. Katikati kuna hilali nyekundu au mwezi mwandamo mwekundu pamoja na nyota ya pembetano nyekundu.