Tofauti kati ya marekesbisho "Afrika"

37 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
[[Image:LocationAfrica.png|thumb|320px|Afrika duniani]]
[[Image:Afrika Kanda.PNG|thumbnail|right|250px|Kanda za Afrika kufuatana na Umoja wa Mataifa]]
 
'''Afrika''' ni [[bara]] kubwa la pili duniani. Bara hili lina eneo la kilometa za mraba 30,244,050 na zaidi ya wakazi milioni 800. [[Asia]] ndio bara pekee kubwa kushinda Afrika.
 
==Jina la Afrika==
{{Afrikamap|float=right}}
<div style="clear: both"></div>
Neno "Afrika" limepatikana kutokana na lugha ya [[Kilatini]] ya [[Roma|Waroma]] wa Kale. Waroma hawakumaanisha bara lote kwa jina hili bali eneo katika [[Tunisia]] ya leo tu. Asili yake ni katika kabila au taifa la "Afrig" walioishi sehemu zile.