Lindi (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

3 bytes removed ,  miaka 14 iliyopita
tanzania-geo-stub ==> mbegu-jio-TZ, Replaced: {{tanzania-geo-stub}} → {{mbegu-jio-TZ}}, using AWB
(Jamii:Mkoa wa Lindi)
(tanzania-geo-stub ==> mbegu-jio-TZ, Replaced: {{tanzania-geo-stub}} → {{mbegu-jio-TZ}}, using AWB)
 
}}
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150 &nbsp;km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm Tanzania.go.tx/census/districts/lindiurban].</ref>
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
{{marejeo}}
 
{{tanzaniambegu-geojio-stubTZ}}
{{Kata za Wilaya ya Lindi Mjini}}
 
[[CategoryJamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Lindi]]
 
43,458

edits