Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:Mkoa wa Mtwara|
picha |Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania
Mstari 1:
'''Mtwara''' ni jina la mji na mkoa wa [[Tanzania]].
[[Image:Tanzania_Mtwara.png|thumb|right|175px260px|MapMahali ofpa theMkoa wa Mtwara Regionkatika Tanzania]]
 
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa Magharibi. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].