Tofauti kati ya marekesbisho "Tenochtitlan"

25 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: pms:Tenochtitlán; cosmetic changes
d (→‎Tazama pia: jamii:Miji ya Mekico → Miji ya Mexiko)
d (roboti Nyongeza: pms:Tenochtitlán; cosmetic changes)
[[ImagePicha:Tenochtitlan ramani.jpg|thumb||Ramani ya Tenochtitlan ndani ya ziwa la Texcoco]]
[[ImagePicha:Tenoch2A.jpg|thumb||Uchoraji wa Tenochtitlan mnamo mwaka 1521]]
[[ImagePicha:Mexico map, MX-DIF.svg|thumb||Mahali pa Tenochtitlan (Jiji la Mexiko)]]
'''Tenochtitlan''' ilikuwa mji mkuu wa milki ya [[Azteki]] na mji mtangulizi wa [[Jiji la Mexiko]]. Ilianzishwa kwenye kisiwa ndani ya ziwa la Texcoco mnamo mwaka 1325 na Waazteki wahamiaji walipofika kwenye bonde la Mexiko kutoka kaskazini. Mji uliharibiwa na Wahispania mwaka [[1321]] na mji mpya ukajengwa juu ya maghofu yake.
 
Wahispania chini ya [[Hernan Cortes]] walifika mwaka 1519 wakaweza kumkamata mfalme [[Montezuma I]] wakajaribu kutawala milki kumpitia mfalme. Walipofukuzwa mjini wakarudi 1521 na kwa msaada wa Maindio jirani wa Taxcala walivamia na kuharibu Tenochtitlan.
 
== Tazama pia ==
* [[Hernando Cortes]]
 
 
{{Link FA|ca}}
 
[[an:Tenochtitlán]]
[[ar:تينوتشتيتلان]]
[[no:Tenochtitlan]]
[[pl:Tenochtitlan]]
[[pms:Tenochtitlán]]
[[pt:Tenochtitlán]]
[[qu:Tenochtitlan]]
44,101

edits