Heal the World : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{Infobox Single | Jina = Heal the World | Cover = Heal The World.jpg | Msanii = Michael Jackson | Albamu = Dangerous |...'
 
No edit summary
Mstari 15:
| Single = "'''Heal the World'''"<br>(1992)
| Single ijayo = "[[Give In to Me]]"<br>(1993)
| Misc = tle=Heal The World}}
}}
"'''Heal the World'''" ni wimbo wa [[Michael Jackson]] kutoka katika albamu yake kali ya ''[[Dangerous (albamu)|Dangerous]]'', iliyotolewa mnamo mwaka wa 1991. [[muziki wa video]] wa wimbo huu unaonyesha watoto wadogo wanaoshi katika maisha magumu na ya tabu - hasa yale yasiyopumzika katika hali ya kivita. Na ni video pekee ambayo Michael Jackson hakuonekana yeye mwenyewe, nyingine yake ni "[[Cry]]", "[[HIStory (wimbo)|HIStory]]" na "[[Man in the Mirror]]". (Vipande vya kwenye wimbo wa "[[HIStory (wimbo)|HIStory]]" na "[[Man in the Mirror]]" imemwonyesha Michael Jackson kidogo sana hasa kama kwenye kihifadhio). Video pia unamaarufu kwa kuonekana kwa [[50 Cent]] wakati yuko bwana mdogo <ref>{{cite web |url=http://www.youtube.com/watch?v=yTMjA4ZJUqo#t=2m50s |title=Heal The World (Music Video)|publisher=Epic Records |accessdate=6 July 2009}}</ref>.