Jamhuri ya Bou Regreg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d - sw
No edit summary
Mstari 1:
'''Jamhuri ya Bou Regreg''' ilikuwa dola ndogo katika eneo la miji [[Rabat]] na [[Sale]] mdomoni wa mto [[Bou Regreg]] lililoanzishwa mwaka [[1627]].
WatwalaWatawala walikuwa ma[[haramia]] waliounda serikali baada ya mwisho wa utawala wa ufalme wa [[Wasaadi]].
 
Halmashauri ya wawakilishi iliwateuailimteua nahodha mkuu kwa ajili yawa jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za Wakristo. Miji yote miwili ikatajirika. na majengoMajengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule.
Mwaka [[1668]] wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme [[Waalawi]] lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka 1818.
 
[[Category:Historia ya Moroko]]