Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo (kifar.: Bureau international des poids et mesures) ni chama cha kimataifa mjini Paris chenye shabaha ya kutunza utaratibu wa [[vipimo sanifu vya kimatifa]...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo''' ([[kifar.]]: Bureau international des poids et mesures) ni chama cha kimataifa mjini [[Paris]] chenye shabaha ya kutunza utaratibu wa [[vipimo sanifu vya kimatifakimataifa]] (SI).
 
Chanzo chake kilikuwa mapatano ya kimatifa kuhusu [[mita]] ya 1875. Ofisi hufanya kazi yake chini ya kamati ya kimataifa ya vipimo. Kial baada ya miaka minne kuna mkutano mkuu wa vipimo (Conférence générale des poids et mesures) mwenye mamalaka juu ya maazimio yote kuhusu vipimo vya [[SI1875]].
 
Ofisi hufanya kazi yake chini ya kamati ya kimataifa ya vipimo. Kila baada ya miaka minne kuna mkutano mkuu wa vipimo (Conférence générale des poids et mesures) mwenye mamalaka juu ya maazimio yote kuhusu vipimo vya [[SI]].
Ofisi inatunza kilogramu asilia ambayo ni mfano kwa mizani yote duniani. Inatunza pia [[mita]] asilia ingawa siku hizi elezo la mita haifuati teni gimba hili la metali bali fizikia.
 
Ofisi inatunza [[kilogramu]] asilia ambayo ni mfano kwa mizani yote duniani. Inatunza pia [[mita]] asilia ingawa siku hizi elezo la mita haifuati teni gimba hili la metali bali fizikia.