John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-Mkristo
d picha
Mstari 1:
[[Picha:John Fisher (painting).jpg|thumb|right|John Fisher]]
'''John Fisher''' ([[1469]] – [[22 Juni]], [[1535]]) alikuwa padre Mkatoliki kule [[Uingereza]]. Pia aliitwa ''John wa Rochester''. Pamoja na [[Thomas More]], alimkataa mfalme [[Henry VIII]] aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni [[22 Juni]] katika Kanisa la Kikatoliki, na [[6 Julai]] katika Kanisa la Anglikana.