Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 74:
 
:::::Haya, kumuondoa mtu kwenye haki za usimamizi ni kazi ya Steward. Kinachotakiwa ni kuonyesha nani na nani wanaotakiwa kutolewa haki za usimamizi wao. Haina haja kufanya hivyo kwa kurejea sentensi hii:{{quotation|Wasipoona haja kuwaondoa wengine na wasipotoa maoni yao, naona hatuna njia. Kwa vyovyote hata wakabidhi hao wakibaki, wikipedia yetu haitapata hasara. Wakiondolewa lakini na kurudi baadaye, ladba tutapata hasara (k.m. tungekosa msaada wao wa baadaye).}} Nitafuta orodha tajwa hapo juu.--<sub>'''[[User:Muddyb Blast Producer|Mwanaharakati]]'''</sub> <sup>([[User talk:Muddyb Blast Producer|Longa]])</sup> 06:55, 21 Julai 2009 (UTC)
: Kwa upande wangu, naona ni shida kuwa na mkabidhi ambaye hafiki hata kusoma barua zake. Kwa mfano, mimi sifanyi kazi nyingi ya mkabidhi, lakini mara kwa mara natumwa ujumbe kusaidia na kitu fulani, na naweza kwa ajili ya ukabidhi wangu. Lakini hawa jamaa hawafiki hata kujibu ujumbe, hivyo nakubali kuwafuta kutoka orodha. '''[[Mtumiaji:Malangali|Malangali]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Malangali|majadiliano]])''' 10:54, 27 Julai 2009 (UTC)
 
== Jalada (''Archive'') ==