Hans Bethe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Hans Albrecht Bethe''' (amezaliwa 2 Julai, 1906) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mw...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:23, 20 Desemba 2006

Hans Albrecht Bethe (amezaliwa 2 Julai, 1906) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa katika mji wa Strasbourg. Mwaka wa 1933 alihamia Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1967 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.