Murray Gell-Mann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Murray Gell-Mann''' (amezaliwa 15 Septemba, 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa wa kwanza kutumia jina la ''quark...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:26, 20 Desemba 2006

Murray Gell-Mann (amezaliwa 15 Septemba, 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa wa kwanza kutumia jina la quark kwa sehemu za atomu. Mwaka wa 1969 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.