Mkondo wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Ocean current
d roboti Nyongeza: lv:Okeāna straume; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Ocean currents 1911.jpg|thumb|350px|Mikondo ya Bahari (nyekundu: mkondo yabeba maji yenye moto zaidi kuliko bahari ya mazingira; buluu: mkondo hubeba maji baridi kulingana na mazingira)]]
'''Mkondo wa bahari''' ni mwendo mfululizo wa maji ndani ya [[bahari]]. Ni kama [[mto]] ndani ya bahari. Maji ya mkondo huwa na halijoto tofauti na maji ya mazingira.
 
Kwa kawaida huwa mikondo ya bahari yahusu maji karibu na uso wa bahari. Kwa hiyo kama mto wa kawaida mkondo una kimo chake vile vile na maji yake hutembea juu ya maji ya chini. Kuna pia mikondo ya chini.
Mstari 7:
 
 
== Mikondo muhimu ==
Mikondo ya bahari yaenedelea kwa maelfu ya kilomita. Ina athira kubwa kwa hali ya hewa. Mfano bora ni [[mkondo wa ghuba]] unaosukuma maji yaliyozizimuliwa kutoka [[Karibi]] hadi [[Atlantiki]] ya kaskazini ikisababisha hali ya hewa ya [[Ulaya]] kuwa na joto zaidi kulingana maeneo ya [[Siberia]] au [[Kanada]] kwenye [[latitudo]] ileile.
 
Mfano mwingine ni pwani la [[Namibia]] ambako [[mkondo wa Benguela]] husababisha kutokea kwa [[jangwa]] la [[Namib]].
 
[[CategoryJamii:Mikondo ya Bahari| ]]
[[CategoryJamii:Bahari]]
 
[[bg:Океанско течение]]
Mstari 42:
[[km:ខ្សែទឹកមហាសមុទ្រ]]
[[ko:해류]]
[[lv:Okeāna straume]]
[[mr:समुद्री प्रवाह]]
[[nl:Zeestroom]]