New England : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
lugha
Mstari 1:
[[Image:DowntownBoston.jpg|thumb|350px|[[Boston]] ni moja kati ya sehemumiji mashuhuri sana mjiniya New England.]]
'''New England (Uingereza Mpya)''' ni jina la sehemu ya kaskazini-mashariki ya [[Marekani]] inayotazama pwani la [[Atlantiki]]. Katika eneo hili, kuna majimbo sita humu. Majimbo hayo ni pamoja na [[Maine]], [[Vermont]], [[New Hampshire]], [[Massachusetts]], [[Connecticut]], na [[Rhode Island]].