Serikali ya Víchy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, eo, fi, hr, hu, la, nn, simple, sk, sr, th, uk, vi Badiliko: it, pl
d roboti Nyongeza: mk:Вишиевска Франција; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Serikali ya Víchy''' ilitawala [[Ufaransa]] chini ya amri ya [[Ujerumani]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Iliongozwa na Jemadari [[Philippe Pétain]] na makao makuu yalikuwepo mjini Vichy katika kusini ya Ufaransa.
 
Petain alikubali kuunda serikali hii baada ya Ufaransa ilishindwa na Ujerumani mwaka 1940. Kati ya Julai 1940 hadi Novemba 1942 serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka juu ya kusini ya Ufaransa ambako wanajeshi wa Ujerumani hawakuingia kufuatana na mapatano ya kusimamisha vita. Kaskazini ya Ufaransa ilikuwa chini ya amri ya kijeshi ya Kijerumani lakini hata hapa serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka ya kusimamia uatawala wa miji na polisi ya Kifaransa.
 
Sehemu ya koloni za Ufaransa hasa katika Asia ([[Indochina]]) zilikubali mamlaka ya Vichy. Koloni katika Afrika zilifuata serikali ya "Ufaransa Huru" iliyoongozwa na [[Charles de Gaulle]].
Mstari 11:
{{mbegu}}
 
[[CategoryJamii:Historia ya Ufaransa]]
 
<!-- interwiki -->
Mstari 36:
[[la:Regimen Vippiacense]]
[[lt:Viši režimas]]
[[mk:Вишиевска Франција]]
[[nl:Vichy-Frankrijk]]
[[nn:Vichy-regimet]]