Arthur Schawlow : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
interwiki corr
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Arthur LawrenceLeonard Schawlow''' ([[5 Mei]], [[1921]] – [[28 Aprili]], [[1999]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kama mtoto na kijana aliishi na kusoma nchini [[Kanada]] kabla hajarudi Marekani. Hasa alichunguza [[mnururisho]] na kubuni [[leza]] alipofanya kazi pamoja na [[Charles Townes]]. Mwaka wa 1981, pamoja na [[Nicolaas Bloembergen]] na [[Kai Siegbahn]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi wa Marekani|S]]