Agenti (fedha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Plata
d roboti Nyongeza: sco:Siller (element); cosmetic changes
Mstari 1:
<center><small> '''Fedha''' kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya '''[[pesa]]''' </small> </center>
[[ImagePicha:SilverUSGOV.jpg|thumb|Fedha]]
'''Fedha''' (kisayansi pia: '''ajenti'''/agenti kutoka [[Kilatini]] "argentum") ni [[elementi]] na [[metali]] yenye kifupi cha '''Ag''' na [[namba atomia]] 47 katika [[mfumo radidia]]. [[Uzani atomia]] ni 107.86. Ajenti huyeyuka kwa 1234,93 K (961,78 &nbsp;°C) na kuchemka kwa 2435 K (2162 &nbsp;°C).
 
Kiasili yatokea kama metali nyeupenyeupe na laini au kama mchanganyiko katika madini. Kati ya metali zote fedha ni wayaikaji na inapitisha vizuri umeme.
 
== Fedha - Pesa ==
Huhesabiwa kati ya [[metali adimu]] na katika historia imetumiwa mara nyingi kama metali ya sarafu. Mara nyingi kwa Kiswahili neno "fedha" latumiwa sawa na "[[pesa]]" au "[[sarafu]]".
 
{{mbegu-kemia}}
 
[[CategoryJamii:Metali adimu]]
 
[[af:Silwer]]
Mstari 100:
[[sa:रूप्यम्]]
[[scn:Argentu]]
[[sco:Siller (element)]]
[[sh:Srebro]]
[[simple:Silver]]