Joseph Kabila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d roboti Nyongeza: la:Iosephus Kabila; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Joseph kabila.jpg|thumb|250px|Joseph Kabila]]
'''Joseph Kabila Kabange''' (* [[4 Juni]] [[1971]]) ni rais wa nne wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Aliingia katika uraisi baada ya kifo cha babake Rais [[Laurent-Desiree Kabila]] aliyeuawa na wanajeshi tar. [[16 Januari]] [[2001]]. Wanasiasa wengine walimteua mwana kuwa raisi badala ya baba.
 
Katika uchaguzi wa kitaifa wa [[30 Julai]] [[2006]] alipata kura nyingi kuwa raisi lakini hakufikia nusu ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yeye na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathebitishwa kuwa rais tar. [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.
 
== Maisha yake ==
Joseph Kabila alizaliwa mjini [[Hewa Bora]] mkoani wa [[Kivu Kusini]] katika mashariki ya Kongo. Babake alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa kikundi cha wanamgambo waasi waliopinga serikali ya [[Mobutu Sese Seko]].
 
Mstari 45:
[[kg:Joseph Kabila]]
[[ko:조제프 카빌라]]
[[la:Iosephus Kabila]]
[[ln:Joseph Kabila]]
[[nl:Joseph Kabila]]