Melilla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Melilla
d roboti Nyongeza: mr:मेलिल्ला; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Melilla mji.PNG|thumb|right|300px|Ramani ya mji wa Melilla]]
 
'''Melilla''' (tamka: me-li-ya; Kiarabu: '''مليلية''' meliliya; Rasmi: Ciudad Autónoma de Melilla = Mji wa kujitawala wa Melilla) ni mji wa [[Hispania]] ndani ya eneo la [[Moroko]] kwenye pwani la [[Mediteranea]]. Umbali na Hispania bara ni takriban 170 km kuvuka bahari. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni Nador mwenye umbali wa 15 km. Pamoja na mji wa [[Ceuta]] kisiasa ni sehemu ya Hispania na [[Umoja wa Ulaya]], kijiografia ni sehemu ya [[Afrika]]. Moroko inadai ni sehemu ya eneo lake la kitaifa.
Mstari 7:
Uchumi unategemea [[uvuvi]] pamoja na biashara ya mpakani. Pesa rasmi ni [[Euro]].
 
== Historia ==
Historia yake ilianza zaidi ya miaka 2000 iliyopita ikaundwa kwa jina la Rusadir. Ikawa sehemu ya [[Dola la Roma]] katika jimbo la [[Mauretania Tingitana]]. Eneo lake lilipiganiwa kuanzia mwaka 429 [[BK]] kati ya wavamiaji [[Wavandali]] na [[Bizanti]]. Karibu kabla ya mwaka 700 BK Waarabu Waislamu walivamia eneo la pwani la Moroko wakielekea Hispania. Mji ulipata jina la Meliliya ukabaki chini ya utawala wa kiislamu hadi mwaka [[1497]] ulipotekwa na Wahispania. Wahispania walifaulu kubaki na mji katika vita mbalimbali za karne zilizofuata. Mwaka [[1936]] vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispania ilianza Melilla kwa uasi wa wanajeshi dhidi ya serikali ya Jamhuri ya Hispania.
 
{{Mbegu-jio-Hispania}}
[[CategoryJamii:Miji ya Hispania]]
{{Afrika}}
 
Mstari 60:
[[lmo:Melilla]]
[[lv:Melilja]]
[[mr:मेलिल्ला]]
[[ms:Melilla]]
[[nah:Melilla]]