Mfereji wa Kiingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Picha:France cap gris nez sb.jpg
d roboti Nyongeza: tt:Ла-Манш; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Mfereji wa Kiingereza''' ni [[mlango wa bahari]] kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]]. Urefu wake ni 560 km na sehemu nyembamba ni [[mlango wa Dover]] mwenye upana wa 34 [[km]]. Unaunganisha [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Atlantiki]] upande wa kusini ya [[Britania]].
 
== Njia za kuvuka ==
Kwa karne nyini njia ya kuvuka mlango huu wa bahari ilikuwa safari kwa [[feri]] kati ya miji ya [[Calais]] (Ufaransa) na [[Dover]] (Uingereza). Tangu [[1994]] kuna handaki ya reli chini ya bahari. Reli inabeba abiria, motokaa zao na mizigo ya kila aina.
 
== Mfereji wa Kiingereza kazika Historia ==
Maji kati ya kisiwa na Ulaya bara yalikuwa ulinzi wa Uingereza kwa muda wote wa historia yake. Ni mara chache tu ya kwamba wavamizi walifaulu kuvuka mfereji na kuingia.
 
Mstari 19:
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Bahari ya Kaskazini]]
[[categoryJamii:Milango ya Bahari]]
[[Jamii:Ufaransa]]
[[Jamii:Uingereza]]
 
 
#REDIRECT [[Insert text]]
 
[[an:Canal d'a Manga]]
Line 88 ⟶ 90:
[[th:ช่องแคบอังกฤษ]]
[[tr:Manş Denizi]]
[[tt:Ла-Манш]]
[[uk:Ла-Манш]]
[[ur:رودباد انگلستان]]
Line 94 ⟶ 97:
[[wuu:英吉利海峡]]
[[zh:英吉利海峡]]
#REDIRECT [[Insert text]]