Lindi (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

986 bytes added ,  miaka 16 iliyopita
no edit summary
(+eo: (Esperanto))
No edit summary
[[Image:Lindi.jpg|thumb|right|200px|Nyumba za Lindi]]
'''Lindi''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Lindi]]. Lindi iko mdomoni wa mto [[Lukuledi]] takriban 150 km kaskazini ya [[Mtwara]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 41,549 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/lindiurban.htm].
 
Lindi ilikuwa kati ya miji ya Waswahili kwenye pwani la bahari. Mdomo wa Lukuledi ilikuwa bandari nzuri kwa ajili ya jahazi za Waswahili na pia kwa meli ndogo za zamani za ukoloni. Siku hizi haitoshi tena kwa meli kubwa.
Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Wajerumani]] ilikuwa makao makuu ya kusini-mashariki ya Tanzania bara. Ilikuwa kituo cha Posta na pia cha kikosi na. 3 cha jeshi la Kijerumani.
Ilibaki kitovu cha eneo chini ya Waingereza hadi kujengwa kwa bandari ya Mtawara. Mazao ya kibiashara yalikuwa hasa [[katani]] baadaye pia korosho.
 
Maendeleo ya Lindi ilikwama kutokana na hali mbaya za barabara amabazo hazikutunzwa vizuri wakati wa uhuru. Kuna matumaini ya kwamba mipango ya barabara ya lami ya [[Dar es Salaam]] - Mtwara itandelea baada ya kukamilika kwa daraja la [[Rufiji]].
{{mbegu}}