Lukuledi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mto Lukuledi''' unaingia katika Bahari Hindi kwenye mji wa Lindi. Lukuledi ina urefu wa takriban 160 km. Wakati wa ukame maji si mengi lakini kwenye 40 km za mwisho kabla ya mdomo maj...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mto Lukuledi''' unaingia katika [[Bahari Hindi]] kwenye [[mji wa Lindi]].
Lukuledi ina urefu wa takriban 160 km. Wakati wa ukame maji si mengi lakini kwenye 40 km za mwisho kabla ya mdomo maji hupatikana. Kwenye 20 km za mwisho kabla ya mdomo mto hupanuka kuwa hori ya bahari.