Kimberley (Afrika Kusini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
picha bora
Mstari 13:
 
}}
[[Image:Big_Hole_KimberleyOpen pit mine.jpg|thumb|300px|"Big Hole" au "Groot Gat" mjini Kimberley ni shimo kutokana na godi la almasi]]
 
'''Kimberley''' ni mji wa [[Afrika Kusini]] na mji mkuu wa jimbo la [[Rasi Kaskazini]] mwenye wakazi 210,000. Chanzo cha mji ni almasi zilizopatikana hapa tangu mwaka 1866. Almasi za kwanza zilipatikana mtoni tu lakini mwaka 1869 zilichimbwa katika udongo. Katika muda wa miezi michache mji mpya ulikua na kuwa na wakazi 30,000 kwa sababu watu walitafuta utajiri wakichimba ardhi ya eneo hili.
Mstari 20:
Hadi leo migodo ya almasi ni mgongo wa uti wa uchumi wa mji huu.
 
[[CategoryJamii:Rasi ya Kaskazini]]
[[CategoryJamii:Miji ya Afrika Kusini]]
 
[[af:Kimberley]]