Adili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|300px|Sanamu ya adili (kwa [[Kigiriki ''ἀρετή'') huko Efeso, Uturuki]] '''Adili''', (kwa Kilatini ''virtus'', yaani ...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Adili''', (kwa [[Kilatini]] ''virtus'', yaani nuguvu) ni uzoefu wa kutenda kiutu.
 
Huko [[Ugiriki]] katika [[karne ya 5 K.K.]] wanafalsafa [[Plato]] na hasa [[Aristotle]] waliorodhesha maadili mengi yanayotegemea nne za msingi ([[maadili bawaba]]): [[busara]], [[haki]], [[nguvu (adili)|nguvu]] na [[kiasi]]. Zaidi ya hayo, walionyesha kwamba haiwezekani kujipatia adili moja tu, bali uadilifu unadai mtu awe na maadili yote. Kwa mfano, haiwezekani kuwa mtu wa haki pasipo busara.
 
Katika [[Ukristo]], juu ya [[maadili ya kiutu]], mwamini anatakiwa kupokea [[maadili ya Kimungu]] yaliyoorodheshwa na [[mtume Paulo]], yaani [[imani]], [[tumaini]] na [[upendo]] ambayo yanaendana vilevile.