Aleksanda wa Lyon (+ 177) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Alexander wa Lyon''' ni mmojawapo kati ya wafiadini wa Lyon wanaoheshimiwa kama watakatifu. Ni kwamba mwaka 177 dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dh...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 02:45, 9 Agosti 2009

Alexander wa Lyon ni mmojawapo kati ya wafiadini wa Lyon wanaoheshimiwa kama watakatifu.

Ni kwamba mwaka 177 dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius dhidi ya Ukristo ilisababisha mauaji makubwa katika [[mji mkuu] wa Gallia, jina lake Lyon.

Kati yao, ni maarufu hasa askofu Potinus wa Lyon na bikira Blandina wa Lyon. Wengine ni huyo Alexander, halafu Attalus wa Lyon, Espagathus wa Lyon, Maturus wa Lyon, na Sanctius wa Lyon.