Kalenda ya mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kalenda ya [[mwezi (wakati)|mwezi]]''' inahesabuni [[kalenda]] inayohesabu miezi kufuatana na mwendo wa [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]]. [[Mwezi]] una muda wa siku 29,5 kutoka mwezi mpya hadi mwezi mpya. Faida yake ni ya kwamba mwezi unaonekana na watu wote. Hali hii inasaidia kuelewana haraka kati ya watu juu ya tarehe fulani katika mazingira ambako hakuna mitambo wala maandishi. [[Mwaka]] wa miezi hii 12 una siku 354.
 
Kwa sababu hiyo [[kalenda]] za kale katika mataifa na tamaduni mbalimbali mara nyingi zilikuwa hasa kalenda za kufuata mwezi.