Kalenda ya jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fi:Aurinkokalenteri
d roboti Nyongeza: lo:ສຸລິຍະຄະຕິ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Solvogn.jpg|thumb|300px|'''Gari la Jua''' lilitengenezwa kwa hekalu ya [[Kigermanik]] katika [[Denmark]] miaka 3500 iliyopita. Wazee wale waliwaza kuwa jua linavutwa kwa gari angani. Kutazama jua kulikuwa mwanzo wa kalenda.]]
 
'''Kalenda ya jua''' ni [[kalenda]] inayofuata mwendo wa [[jua]] jinsi inavyoonekana angani. Hali halisi tunaona matokeo ya mwendo wa dunia kuzunguka jua.
 
Katika kalenda za jua mwaka unalingana na muda wa mzunguko mmoja wa dunia kwenye mzingo wake kuzunguka jua letu. Muda kamili wa mzunguko huu ni siku 365.2425.
Mstari 7:
Kwa kawaida kalenda za jua hutumia mwaka mwenye siku 365 na kuongeza siku moja kila baada ya miaka minne au kwa utaratibu mwingine.
 
== Historia ya Kalenda za jua ==
Kalenda nyingi za asilia zilikuwa [[kalenda za mwezi]] kwa sababu mwendo wa mwezi na vipindi vyake huhesabiwa rahisi zaidi. Lakini hesabu ya miezi halisi ina hasara ya kwamba miezi hairudi kufuatana na majira. Asili ya kalenda ya jua ni utamaduni wa wakulima katika nchi zisizo karibu na ikweta.
 
Katika nchi zisizo karibu na [[ikweta]] kuna [[majira]] yenye tofauti kubwa kufuatana na mwendo wa jua angani. Kwa mfano kuna kipindi ambako jua halifiki kwenye kilele cha anga wakati wa mchana na muda wa mchana ni fupi. Kipindi hiki huwa na baridi na giza. Kinyume chake kuna kipindi ambako jua linaonekana masaa mengi kila siku na mchana ni mrefu. Hiki ni kipindi cha joto.
 
 
== Kalenda za Jua ==
Kalenda ya jua inayojulikana zaidi ni [[Kalenda ya Gregori]] iliyokuwa kalenda ya kimataifa. Inatumia pia kipindi cha "[[mwezi (wakati)|mwezi]]" lakini miezi hii haina uhusiano tena na mwendo wa [[mwezi (gimba la angani)|mwezi kama gimba la angani]] tena.
 
 
Mstari 27:
*[[Kalenda ya Thai]]
 
[[CategoryJamii:Kalenda]]
 
[[ca:Calendari solar]]
Mstari 39:
[[ko:태양력]]
[[ku:Salnameya rojê]]
[[lo:ສຸລິຍະຄະຕິ]]
[[pl:Kalendarz słoneczny]]
[[ru:Солнечный календарь]]