Protista : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Protista
d roboti Nyongeza: af:Protiste; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Protist collage.jpg|thumb|300px|Protista]]
'''Protista''' ni kundi la [[viumbehai]] vidogo sana ambavyo mara nyingi huwa na [[seli]] moja au seli chache tu. Havionekani kwa jicho tupu bali kwa [[hadubini]] tu.
 
Mifano ya protista ni [[algae]] (mwani), [[amiba]] na aina za [[kuvu]]. Vilivyo vingi huishi baharini au ndani ya viumbe vingine; kwa hiyo vingine vinaonekana kama chanzo cha magonjwa.
 
Zamani vilihesabiwa kama himaya ya pekee ndani ya [[eukaryota]] lakini siku hizi hujumlishwa pamoja na himaya mbalimbali.
Mstari 8:
 
{{mbegu-biolojia}}
[[CategoryJamii:Biolojia]]
 
[[af:Protiste]]
[[ar:طلائعيات]]
[[ast:Protista]]