Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 13:
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
KatiHadi yamwezi Aprili 2006 nawa Desemba 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000). BahatiAgosti mbaya2009 sikuwezanimefikisha kuendeleamichango na[http://toolserver.org/~purodha/sample/dbswithuser.php?usr=Baba_Tabita&go=Go!&uselang=en mwendo huohuo20,000].
 
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia hii mwezi wa pili 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!