Elizabeth Ann Seton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ca:Elizabeth Ann Seton
d roboti Nyongeza: tl:Elizabeth Ann Seton; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Saint Elizabeth Ann Seton (1774 - 1821).gif|thumb|Elizabeth Ann Seton]]
'''Elizabeth Ann Bayley Seton''' ([[28 Agosti]], [[1774]] – [[4 Januari]], [[1821]]) alikuwa mwanzilishi wa shirika la '''Masista wa Huruma wa Mt. Yosefu''' (kwa Kiingereza ''Sisters of Charity of St. Joseph''), ambalo lilikuwa [[utawa]] wa kwanza kuundwa huko [[Marekani]]. Hasa alifundisha na kuwasaidia watoto maskini wengi.
 
 
== Maisha yake ==
 
Elizabeth Ann Bayley alizaliwa New York katika familia ya ushirika wa [[Anglikana]]: tarehe [[25 Januari]] [[1794]], akiwa na umri wa miaka 19, aliolewa na mfanyabiashsara tajiri William Seton, akamzalia watoto watano.
Mstari 15:
Alifariki mwaka [[1821]].
 
== Heshima aliyopewa ==
Mchakato wa kumtangaza [[mwenyeheri]] ulianza mwaka [[1907]] na kumalizika [[Papa Yohane XXIII]] alipomtangaza tarehe [[17 Machi]] [[1963]]. Tarehe [[14 Septemba]] [[1975]] [[Papa Paulo VI]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]]. Sikukuu yake ni 4 Januari.
 
 
== Viungo vya nje ==
*{{en}} [http://www.newadvent.org/cathen/13739a.htm katika ''Catholic Encyclopedia'']
 
{{DEFAULTSORT:Seton, Elizabeth Ann}}
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1774]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1821]]
[[CategoryJamii:Watakatifu Wakristo]]
[[CategoryJamii:Watu wa Marekani]]
[[CategoryJamii:Watawa waanzilishi]]
 
[[ca:Elizabeth Ann Seton]]
Mstari 38:
[[pt:Isabel Ana Bayley Seton]]
[[ru:Сетон, Елизавета Анна]]
[[tl:Elizabeth Ann Seton]]