Kimondo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-sayansi
d roboti Nyongeza: eo:Meteoroido Badiliko: lb:Meteoroid; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:1966 leonids big.gif|thumb|350px|<small>Vimondo vinavyong'aa angani; picha imechukuliwa kwa muda wa dakika kadhaa na kuonyesha vimondo kadhaa vilivyoonekana katika kipindi hiki. Nyota hazionekani kama nukta tena lakini kama mistari mifupi kutokana na mwendo wa dunia na anga katika muda wa kupigiwa kwa picha.</small>]]
'''Vimondo''' (pia: '''meteori''' au '''meteoridi''') ni magimba madogo ya angani yanayozunguka [[jua]]. Yanaweza kuanguka duniani yakionekana kama moto angani.
 
== Ukubwa ==
Ukubwa wa kimondo ni kuanzia punje la [[mchanga]] hadi kufikia [[kipenyo]] cha [[mita]] kadhaa. Hivyo kimondo ni kidogo kuliko [[asteoridi]] na kikubwa kushinda vumbi la angani.
 
 
[[ImagePicha:ChingaMeteorite.jpg|thumb|350px|Kimondo hiki cha chuma kilipatikana China]]
== Kugonga angahewa ya dunia ==
Mzunguko wa kimondo unaweza kuingiliana na njia ya dunia au sayari nyingine. Kama kimondo kikilikaribia gimba la angani kubwa zaidi kinavutwa nalo.
 
Mstari 14:
Kati ya vimondo kumi vikubwa kabisa duniani ambavyo mabaki yao yanaonekana ni [[Kimondo cha Mbozi]] nchini [[Tanzania]].
 
== Hatari za vimondo ? ==
Vimondo ni hatari kwa vyombo vya angani kwa sababu ya kasi kubwa. Hata punje dogo laweza kusababisha uharibifu mwingi.
 
Mstari 25:
*08 Desemba 1929 Zvezvan, [[Yugoslavia]] - Kimondo kugonga arusi, mmoja kuuawa
*16 Mei 1946 Santa Ana, [[Meksiko]] - Nyumba kuharibiwa, watu 28 kujeruhiwa
*30 Novemba 1946 Colford, [[UK]] - simu kuharibiwa, mvulana kujeruhiwa
*28 Novemba 1954 Sylacauga, [[Alabama]], [[USA]] - kimondo cha kilogramu nne kugonga nyumba, mama kujeruhiwa
*14 Agosti 1992 [[Mbale]], [[Uganda]] - Vimondo 48 kuanguka, mvulana kujeruhiwa
[[ImagePicha:Meteor.jpg|thumb|350px|Kasoko huko [[Arizona]] ([[Marekani]]) kutokana na mgongano wa kimondo]]
 
== Mgongano na vimondo vikubwa ==
Lakini kuna hatari moja kubwa kwa maisha yote duniani. Wataalamu huamini ya kwamba kila baada ya miaka maelfu hadi malakhi kadhaa kimondo kikubwa au zaidi asteroidi inaweza kugonga dunia. Nishati ya mgongano wa aina hii inaweza kuwa kubwa sana na kuleta uharibifu mwingi.
 
Mstari 37:
Kuna pia kasoko kadhaa zilizosababishwa na vimondo. Vimondo vikubwa sana viliovyoweza kusababisha kasoko kubwa vinatokea kila baada ya miaka mamilioni. Lakini vina hatari ya kuua kiasi kikubwa cha viumbe vyote katika nchi au hata duniani.
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.sternwarte-singen.de/meteoriten_gross_mbozi1.htm Kimondo cha Mbozi (Kijerumani)]
*[http://www.geo.ucalgary.ca/cdnmeteorites/intropages/introduction.htm Ujurasa mzuri juu ya vimondo kutoka Kanada]
Mstari 45:
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[CategoryJamii:Gimba la angani]]
 
[[ar:نيزك]]
Line 58 ⟶ 59:
[[el:Μετέωρο]]
[[en:Meteoroid]]
[[eo:Meteoroido]]
[[es:Meteoroide]]
[[et:Meteoorkeha]]
Line 69 ⟶ 71:
[[ja:流星物質]]
[[ko:유성체]]
[[lb:MeteoridMeteoroid]]
[[lt:Meteoroidas]]
[[lv:Meteoroīds]]