Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gan, ms, sah, zh-yue
No edit summary
Mstari 4:
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga ustawi wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].
 
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]]), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
 
Miaka ya mwisho nchi chache zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] moja. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha maumbile. [[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia mbili, na kwamba udumifu wake ni wa muda mfupi zaidi.
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]] yanatazama ndoa kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili kuwa [[sakramenti]]: rejea [[Ndoa (sakramenti)]]. Hasa [[Kanisa Katoliki]] linaamini ndoa haiwezi kuvunjwa kwa [[talaka]].
 
[[Category:Elimu Jamiijamii]]
 
[[ar:زواج]]