Samsun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mkoa badla ya jimbo..
{{Wilaya za Uturuki|provname=Samsun}}
Mstari 1:
[[Picha:Samsun2.png|right|300px|thumb|Samsun]]
 
'''Samsun''' ni jina la [[Orodha ya miji ya Uturuki|mji]] uliopo kaskazini mwa nchi ya [[Uturuki]]. Mji upo katika pwani ya [[Bahari Nyeusi]], ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa [[Mkoa wa Samsun]] na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.
 
Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama '''Amisos''' (tahajia zingine ni ''Amisus'', ''Eis Amison - '' maana ya amisos imechukua jina la ''Samsunta'' au ''Samsus'' (''Eis Amison - Samson - Samsounta'').<ref>Özhan Öztürk. Karadeniz: Ansiklopedik Sözlük (Blacksea: Encyclopedic Dictionary). 2 Cilt (2 Volumes). Heyamola Publishing. Istanbul.2005 ISBN 975-6121-00-9</ref>
Mstari 22:
 
{{Miji ya Uturuki}}
{{Wilaya za Uturuki|provname=Samsun}}
 
[[ar:سامسون]]