Okapi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ro:Okapi
No edit summary
Mstari 18:
'''Okapi''' (''Okapia johnstoni'') ni mamalia wa familia ya [[twiga]]. Umbo lake hufanana na [[farasi]] ina michoro miguuni kama [[punda milia]] lakini haina uhusiano naye ni aina ya twiga.
 
Okapi ni mnyama iliyojulikanaaliyejulikana na wenyeji wa maeneo yao tu hadi mwaka 1901. ImeaminikaHapo zamani ilikuwa inaaminika kuwa mnyama huyu kupatikanahupatikana tu katika misitu ya [[Ituri]] lakini mwaka 2006 zilipatikana dalili zimepatikana yazilizoonyesha kwamba ikomnyama huyu yuko pia kwenye misitu ya hifadhi ya kitaifa ya Kongo ya [[Virunga]]. Kwenye misitu ya Ituri kuna hifadhi ya okapi yenye eneo la 14,000 km².
 
Shingo yake ni fupi kuliko twiga lakini ina ulimi mrefu sana wa kujipatia majani unaomwezesha kusafisha masikio yake yeye mwenyewe. Duma ina pembe mbili fupi kichwani.
 
Ukubwa wa okapi ni hadi 2.5 m kichwani na hadi 2 m mabegani. Anafikia uzito kati ya kg 200 hadi 250 kg. Anakula majani ya miti pamoja na manyasi, matunda na uyoga.