Bujumbura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
infobox + jamii ziwa la tanganyika + viungo vya nje
d {{sisterlinks}} → {{commons}}
Mstari 15:
[[Picha:BujumburaFromCathedral.jpg|thumb|320px|Bujumbura kando la [[ziwa Tanganyika]]]]
'''Bujumbura''', ni [[Mji Mkuu]] wa [[Burundi]] unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300,000. Mji huu upo kaskazini mashariki mwa [[Ziwa Tanganyika]], na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia mali na bidhaa mbalimbali za kuuza nje. Bidhaa kama [[kahawa]], [[pamba]], ngozi, na madini ya [[tini|stani]]. Kwa kijiographia Bujumbura iko 3°22'34" Kusini, 29°21'36" Mashariki (-3.3761111, 29.36) [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html].
 
 
Bujumbura ilipanuka toka ilipokuwa kijiji kidogo kilichokuwa [[kambi ya Jeshi]] ya [[Wajerumani]]. Eneo hii iliitwa [[Afrika ya Mashariki ya Ujerumani]] mwaka wa [[1889]]. Lakini, baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], Bujumbura ilichukuliwa na [[Wabelgiji|Ubeljiji]] ambapo [[Ligi ya Kimataifa]] ilisimamia [[Ruanda-Urundi]]. Jina la mji likabadilishwa kutoka '''Usumbura''' hadi Bujumbura Burundi ilipopata uhuru, mwaka wa [[1962]]. Bujumbura ni mji ambao umeshuhudia vita vya ukabila kati ya [[Wahutu]] na [[Watutsi]] kwa kung'ang'ania Uongozi wa Burundi.
Line 24 ⟶ 23:
* [http://www.villedebujumbura.org/ Tovuti rasmi]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{Commons cat}}
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{sisterlinks}}
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Ziwa Tanganyika]]